1 Oct 2025 10:24 am | Citizen TV 148 views Duration: 1:48 Kundi la vijana kutoka eneo mbunge la Laikipia Magharibi limeanzisha harakati za kuhamasisha vijana wenzao kutoka eneo hilo kujiandikisha kuwa wapigakura .