Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi Wajir kujisajili kuwa wapigakura

  • | Citizen TV
    112 views
    Duration: 1:34
    Huko Kaunti ya Wajir, viongozi na wakazi wanawahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kuhakikisha kuwa majina yao yapo kwenye sajili ya wapiga kura ikizingatiwa Ukubwa wa Eneo hilo. Viongozi wa jamii wamesema watapanua kampeni za uhamasishaji kupitia misikiti, makanisa na maeneo mengine ya ibada ili kuhakikisha ujumbe unawafikia wananchi wote.