1 Oct 2025 10:38 am | Citizen TV 70 views Duration: 1:11 Selikali ya kaunti ya Kitui imeanzisha zoezi la kuendelea kuongeza idadi ya zahanati katika kila Kijiji ili wanainchi wapate huduma za matibabu karibu nao.