1 Oct 2025 10:44 am | Citizen TV 194 views Duration: 1:46 Chuo kikuu cha Taita Taveta kitaendelea kushirikiana na wachimba madini wadogo ili kufanikisha uchimbaji madini kwa njia za kisasa sawa na kuboresha sekta hiyo.