- 36 viewsNchini Ghana, waganga wa kienyeji, ambao hapo awali waliheshimiwa kama wapatanishi na waponyaji wa kiroho, wanakabiliwa na maswali kuhusu umuhimu wao katika nyakati za sasa. Kijadi huonekana kama daraja kati ya ulimwengu wa kimwili na wa kiroho, waganga hawa walipata heshima kubwa katika kabila la Akan. Nana Manu, Mganga wa Kienyeji katika jumuiya ya Fumesua, anaeleza hadithi yake kama waganga hao bado wanashikilia hadhi yao katika jamii ya kisasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Nafasi ya waganga wa kienyeji yazua maswali Ghana
- 10 May 2024 - The leader of Yemen's Houthis, Abdul Malik al-Houthi, said on Thursday the group would target ships of any company related to supplying or transporting goods to Israel regardless of their destination.
- 10 May 2024 - Stormy Daniels returned to the witness stand on Thursday at Donald Trump's historic hush money trial with attorneys for the former president seeking to paint her as a greedy liar who profited from her allegations.
- 10 May 2024 - Israeli tanks and warplanes bombarded areas of Rafah on Thursday, Palestinian residents said, after U.S. President Joe Biden vowed to withhold weapons from Israel if its forces launch a major invasion of the southern Gaza city.
- 10 May 2024 - Civilian contractors have arrived in Haiti to build living quarters for a Kenyan-led international security force meant to counter gang violence in the Caribbean nation, the U.S. military's Southern Command said.
- 10 May 2024 - Somalia's government has requested the termination of a U.N. political mission that has advised it on peace-building, security reforms and democracy for over a decade, according to a letter the foreign minister wrote to the Security Council.
- 10 May 2024 - Relatives of 44 construction workers trapped under a collapsed building in the South African city of George faced a fourth day of anguished waiting on Thursday as heavy machinery worked at the site in a race against time to find any survivors.
- 9 May 2024 - Despite the resumption of doctors to their workstations in public hospitals, health services are yet to normalize in most facilities with clinical officers and medical laboratory officers still on strike.
- 9 May 2024 - Quarcoo says he dedicates the award to hundreds of journalists In Africa
- 9 May 2024 - President William Ruto has called for a strong commitment from all parties in the South Sudan peace process to achieve lasting and sustainable peace.
- 9 May 2024 - It is more cost-effective to provide Kenyans with free tree seedlings during the rainy season than organising major events.