Skip to main content
Skip to main content

ICPAK yataka uchunguzi wa sakata ya ajira SHA baada ya mfichuzi kutimuliwa kazi

  • | Citizen TV
    808 views
    Duration: 2:35
    Haya yajikiri, chama cha wahasibu nchini - ICPAK- sasa kinataka uchunguzi huru kuhusu sakata ya ajira katika mamlaka ya afya ya SHA. Hii ni kufuatia kuripotiwa kuwa Andrew Rotich, aliyefichua ulaghai wa mabilioni ya pesa, alitupwa nje ya orodha ya walioteuliwa upya kwa ajira. Rotich, ambaye awali alikuwa naibu mkurugenzi wa ukaguzi katika SHA, anaripotiwa kupoteza kazi baada ya kufichua sakata hiyo