Wasiwasi waendelea kuwagubika wakulima Rift Valley

  • | Citizen TV
    455 views

    Wasiwasi umeendelea kuwagubika wakulima nchini kuhusu uwepo wa mbolea ghushi huku msimu wa upanzi ukianza. Wakulima zaidi katika maeneo ya bonde la ufa wameendelea kusimulia walivyohadaiwa na kununua mbolea ghushi, baadhi yao wakidai kununua mbolea hii kwenye mabohari ya serikali.