Wakenya watakiwa kujitayarisha kwa mvua za masika

  • | Citizen TV
    1,560 views

    Idara ya utabiri wa hali ya anga sasa inasema mvua ndefu zimeanza huku ikiwataka wakulima nchini kuanza shughuli za upanzi. Mvua hizi zilizoanza mwishoni mwa juma lililopita sasa zikitarajiwa kuendelea hadi mapema mwezi Juni.