Mama taifa Rachel Ruto alijiunga na waombolezaji huko Kandara katika kaunti ya Murang’a na kutoa jumbe za faraja na matumaini kwa familia iliyopoteza jamaa zake 16 katika mkasa ulitukia kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi. Katika ibada ya ukumbusho kwenye kijiji cha Kahiga, viongozi waliahidi kugharamia elimu ya watoto walioachwa, wakiihakikishia jamii hiyo kwamba watoto hao watatunzwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive