- 461 viewsDuration: 2:19Kenya na China zimekamilisha mazungumzo kuhusu kuondolewa kwa ushuru wa bidhaa za kilimo za humu nchini zinazouzwa nchini humo. Rais William Ruto anasema Kenya itashirikiana na China kustawisha na kupanua mbinu za kufanikisha hatua hiyo kupitia maeneo maalumu ya utayarishaji mahuruji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive