- 316 viewsDuration: 2:27Idadi ndogo ya watu bado imenakiliwa katika shughuli ya usajili wa wapiga kura, iliyoingia siku ya tatu hii leo. Kaunti ya Nyeri ikisema kuwa imesajili watu sitini pekee kufikia sasa, vituo vingine vikiwa na usajili wa chini ya watu kumi kwa kila siku.