- 1,883 viewsDuration: 2:57Familia ya watu 14 walioangamia kwenye ajali ya barabarani jumapili iliyopita imeanza mipango ya mazishi, huku serikali ikiahidi kuwapiga jeki. Mkewe rais, Mama Racheal Ruto aliwaongoza viongozi kuifariji familia hii katika kaunti ya murang'a huku wizara ya afya ikijiandaa kutuma washauri nasaha kuwasaidia walioathirika na mkasa huo