- 4,621 viewsDuration: 1:59Wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo Ochieng wameripotiwa kutekwa nyara jijini Kampala nchini Uganda walikokuwa wanakutana na mwaniaji urais wa chama cha National Unity Platform Bobi Wine. Njagi na Oyoo wakiripotiwa kutekwa nyara mwendo wa saa tisa alasiri katika kituo kimoja cha mafuta. Rafiki yao aliyekamatwa na kuachiliwa, akidai polisi waliowakamata walitwaa na kuzima simu zao.