- 474 viewsDuration: 2:28Kwa muda wa miaka 25, sekta ya nguo ilifurahia matunda ya mkataba wa ukuzaji wa biashara Afrika wa AGOA kwa ushirikiano na serikali ya Marekani. Hata hivyo, kampuni zilizofaidi mkataba huu sasa zimewachwa njiapanda baada ya mkataba huu kufikia kikomo hapo jana