1 Oct 2025 8:01 pm | Citizen TV 2,661 views Duration: 1:15 Rais William Ruto ameendelea kutetea maamuzi yake tata ambayo anasema yameleta maendeleo nchini, akiwarai viongozi kuchukua hatua zitakazoboresha mustakabali wa taifa