Huduma zilitatizwa katika eneo la katikati ya jiji la Nairobi leo asubuhi baada ya wahudumu wa afya katika kaunti ya Nairobi kuandamana kutaka walipwe mishahara yao. Wahudumu hao wa matibabu kutoka vyama saba, wanadai serikali ya kaunti hiyo haijawalipa mishahara kwa kipindi cha miezi mitatu, na pia kuwasilisha makato yao ya kisheria kwa wahusika. Juhudi zao za kuzungumza na gavana Johnson Sakaja, hata hivyo ziliambulia patupu licha ya kukita kambi nje ya afisi yake. Nancy Okware anaarifu zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive