- 63 viewsDuration: 3:18Sekta ya utalii inapania kubadilisha mtazamo wake wa huduma kutoka safari za mbuga za wanyama pori na fuo kwa lengo la kurudufisha mapato yake hadi shilingi trilioni moja katika muda wa miaka miwili ijayo. Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amesema sekta ya utalii ina uwezo wa kubuni maelfu ya nafasi za ajira iwapo Kenya itajiweka kwenye nafasi ya kuwa kitovu cha kimataifa cha utalii. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive