- 547 viewsJarida la Wikiendi linaangazia mgogoro wa kidiploamsia kati ya Somalia na Ethiopia kuhusiana na mikataba na ushirikiano kati ya Ethiopia na Somaliland pamoja na jimbo la Puntland. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Mgogoro wa kidiplomasia watishia usalama katika Pembe ya Afrika | VOA Swahili
- » ‘Don’t go home angry, pesa iko!’ CS Kuria tells attendees of Limuru III, claims meeting is sponsored17 May 2024 - Public Service Cabinet Secretary Moses Kuria has disclosed that the oncoming Limuru III conference slated for tomorrow has shadow sponsors who may be willing to splash money on the attendants.
- 17 May 2024 - During an interview with Citizen TV on Thursday evening, Kimani emphasized the importance of adequately funding the constitutional office of the Deputy President so that it can carry out its mandate.
- 17 May 2024 - The Beyond Zero Initiative once again demonstrated its unwavering commitment to humanitarian aid by donating essential items to victims of the recent heavy rains and floods in Mathare, Nairobi County.
- 17 May 2024 - A budget estimate presented by the Controller of State House Katoo Ole Metito shows extravagance in government spending at a time when Kenyans are furious with the continued tax burden contained in the Finance Bill 2024.
- 17 May 2024 - Tax experts have expressed outrage over what they termed as retrogressive tax proposals contained in the Finance Bill 2024.
- 17 May 2024 - The U.N. aid chief warned on Thursday that famine was an immediate risk in Gaza with food stocks running out, describing fresh challenges since the start of the Israel's Rafah operation that made planning and distributing relief almost impossible.
- 16 May 2024 - South Africa asked the top U.N. court on Thursday to order a halt to the Rafah offensive as part of its case in The Hague accusing Israel of genocide, saying the country "must be stopped" to ensure the survival of the Palestinian people.
- 16 May 2024 - These are the stories making the headlines in the Star
- 16 May 2024 - Lawmaker, however, says he's optimistic MPs will prioritise what is important to Kenyans
- 16 May 2024 - Dusabe will lead the foreigners who include compatriot Didas Ndindambahizi.