3 Oct 2025 1:28 pm | Citizen TV 240 views Duration: 1:20 Wakulima wadogo zaidi ya laki moja wamenufaika na shilingi milioni mia sita kutoka kwa mpango unaofadhiliwa na shirika lisilo la serikali unaolenga kukuza kilimo endelevu