- 636 viewsDuration: 3:16Wakulima wamehimizwa kuongeza uzalishaji wa mboga za kienyeji ili kunufaika na fursa kubwa ya kibiashara katika shule na taasisi mbalimbali. Mradi wa kilimo cha mboga za kienyeji unaoendelezwa na Idara ya Makavazi ya Kitaifa unalenga kuhamasisha jamii kuhusu thamani ya mboga hizi zenye lishe bora na manufaa ya kiuchumi.