- 540 viewsDuration: 1:40Serikali sasa imesema kuwa juhudi za kutwaa silaha haramu kutoka kwa wananchi wa kaskazini mwa bonde la ufa zimeanza kuzaa matunda. Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, wamesema kufikia sasa zaidi ya bundiki 280 zimerejeshwa katika kaunti ya Elgeyo Marakwet huku bunduki 67 zikisalimishwa kutoka eneo bunge la Tiaty kaunti ya Baringo.