Chama cha madaktari na wataalamu wa meno nchini (KMPDU) kimeondoa huduma muhimu na ya dharura iliyokuwa ikitolewa na wanachama wake katika hospitali za umma kaunti ya Kiambu, ili kuishinikiza serikali ya kaunti hiyo kushughulikia malalamishi yao miongoni mwayo, malimbikizi ya malipo ya mishahara yao kwa kipindi cha miezi saba. Chama hicho kimetishia kufanya maandamano ya amani katika kaunti hiyo mnamo Jumatano huku mgomo wa madaktari ukiingia siku yake ya 128.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive