Skip to main content
Skip to main content

Sifuna amlaumu Rais William Ruto kwa masaibu yake

  • | Citizen TV
    19,716 views
    Duration: 3:35
    Ni afueni kwa katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna baada ya jopo la kutatatu mizozo ya vyama vya kisiasa kusitisha uamuzi wa baraza kuu la chama hicho kumbandua hapo jana. Hata hivyo, sifuna na wandani wake wakihutubia wanahabari leo, wamemlaumu Rais william Ruto wakisema alipanga njama ya kutimuliwa kwake ofisini, wakimtaka kukoma kuingilia masuala ya chama cha ODM.