Watu kumi watafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kuwasilisha madai ghushi ya malipo ya pesa kutoka kwa halmashauri ya afya kwa jamii.Ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma , kwenye taarifa iliyotoa leo iliwaataja wakurugenzi wawili na wafanyakazi watano wa kliniki ya Jambo Jipya iliyo kaunti ya Kilifi, wakurugenzi wawili na mfanyakazi mmoja wa hospitali ya St Mark Orthodox ili kaunti ya Vihiga kuwa miongoni mwa wale watakaoshtakiwa.Watashtakiwa kwa kupanga njama ya kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu na kughushi stakabadhi za afya miongoni mwa mashtaka mengine.Giverson Maina anatueleza Zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive