Naibu rais atetea bajeti ya Ksh 1.12B ya nyumba na ofisi

  • | Citizen TV
    1,732 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametetea ombi la bajeti ya shillingi billioni 1.12 la kukarabati afisi yake, makazi yake rasmi ya Karen na Mombasa na kununua magari mapya rasmi.