Mzozo wa Fedha Awendo

  • | Citizen TV
    36 views

    Wakulima wa miwa katika maeneo ya Awendo wamejipata katika njia panda baada ya kampuni ya kutengeneza sukari ya SONY kushindwa kuwasilisha malipo kwa zaidi ya miezi mitatu.