Chui awaua kondoo wanane Homa Bay

  • | KBC Video
    3,785 views

    Wakazi wa kijiji cha Lala katika kaunti ya Homabay wanatoa wito kwa shirika la huduma kwa wanyamapori nchini KWS kuchukua hatua za dharura kuwadhibiti wanyama pori baada ya chui kuwaua kondoo wanane wa mkazi mmoja wa kijiji hicho. Wakazi hao wanasema chui huyo alitoka kwenye mbuga ya wanyamapori ya Ruma iliyoko karibu. Wakati uo huo, familia 200 za waathiriwa wa mzozo baina ya binadamu na wanyamapori katika kaunti ya Narok zimepokea fidia ya shilingi milioni 69 kutoka kwa serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive