Washukiwa 3 wa uporaji na uteketezaji wa duka la Magunas Meru watiwa nguvuni

  • | KBC Video
    1,058 views

    Maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai katika kaunti ya Meru wamewatia nguvuni washukiwa watatu, kuhusiana na uporaji na uteketezaji wa duka kuu la Magunas, kwenye kituo cha kibiashara cha Makutano mjini Meru, wakati wa ghasia za maadhimisho ya siku ya sabasaba. Watatu hao Ian Mugambi, Abdulatif Murithi, na Teddy Kaimenyi, walinaswa kwenye kamera za CCTV wakipora duku kuu hilo kabla ya kuliteketeza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive