Rais Ruto tayari ametua jimbo la Atlanta, Marekani

  • | Citizen TV
    6,890 views

    Rais William Ruto ametua katika jimbo la Atlanta nchini Marekani kwa ziara rasmi ya kitaifa ambako leo anatarajiwa kutoa hotuba katika kituo cha jimmy carter. Baadaye rais anatarajiwa kituo cha King Centre kabla ya kukutana na wakenya wanaoishi atlanta katika dhifa ya jioni.