Deni la kitaifa liliongezeka kwa takriban 19.3%

  • | Citizen TV
    506 views

    Visa vya uvunjaji wa sheria vimeongezeka katika muda wa mwaka mmoja uliopita kufuatia hali ngumu ya kiuchumi inayowakumba wakenya wengi. Utafiti wa hali ya uchumi wa mwaka 2023 ukionyesha taswira tofauti katika sekta ya elimu, huku idadi ya walimu katika shule za msingi ikipungua na wanafunzi wanaojiunga na shule wakiongezeka.