Ajali imetokea katika barabara ya Eldoret - Nakuru

  • | Citizen TV
    3,113 views

    Watu sita wamefariki huku wengine kadhaa wakijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea katika barabara kuu ya Eldoret - Nakuru alasiri ya leo