Watu watatu wafariki Chesiywo katika eneo la Mt Elgon

  • | Citizen TV
    747 views

    Kwengineko, watu watatu wa familia moja kutoka kijiji cha Chesiywo eneo la Mt Elgon kaunti ya Bungoma wamefariki baada ya kufunikwa na mmomonyoko wa udongo kufuatia mvua kubwa iliyoshuhudiwa eneo hilo usiku wa kuamkia leo. Kulingana na wakaazi, mvua iliyoanza mwendo wa saa mbili usiku ilisababisha mauti ya baba na wanawe watatu