- 52 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZULIA JEKUNDU - TAMASHA LA MITINDO YA KIAFRIKA MAREKANI
- 11 Aug 2025 - Mobile phone ownership in Kenya has risen from 47.3% in 2019 to 53.7% in 2024 as internet usage also increased nationally from 22.7 per cent in 2019 to 35.0 per cent in 2024.
- 11 Aug 2025 - The Judiciary is now looking to make a closer and safer step into the future of technology with the latest unveiling of a framework that will guide the integration of Artificial Intelligence (AI) tools in enhancing operations at the Judiciary.
- 11 Aug 2025 - The High Court has temporarily stopped the government from implementing a Cabinet decision allowing the duty-free importation of 500,000 metric tonnes of rice.
- 11 Aug 2025 - Interior Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has reiterated that Democracy for Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua must honor the order to record a statement over his remarks on terrorism while in the United States.
- 11 Aug 2025 - Treasury Cabinet Secretary John Mbadi intends to engage officials from the ministry of education over school capitation crisis.
- » Bella Comedy: Viral assault on Kalenjin female comedian sparks outrage, calls for arrest of perpetrator11 Aug 2025 - A disturbing assault caught on video showing a businessman going by the name Pavilion physically attacking a female content creator, Bella Comedy, at the Kutiti Festival at Nairobi's Carnivore Gardens has triggered widespread outrage.
- 11 Aug 2025 - The notice had authorized the duty-free importation of Grade 1 milled white rice to cushion consumers from an anticipated shortage.
- 11 Aug 2025 - The President announced a new cash incentive for Stars in upcoming matches.
- 11 Aug 2025 - The hospital said the suspension followed requests from insurance partners.
- 11 Aug 2025 - Youth lead adoption, with over 80 per cent of 18-34-year-olds owning a phone, yet low income, poor electricity access, and limited education remain barriers.