- 14,231 viewsDuration: 2:05Washukiwa wawili wa wizi wa magari wamekamatwa mjini kisumu baada ya oparesheni iliyofanyika katika makao ya mmoja wao ambapo magari kumi yalipatikana. Polisi wanasema kuna mtandao mkubwa wa wizi unaolenga magari, vipuri na sehemu za magari humu nchini. Aidha mshukiwa mkuu wa wizi huo anasakwa na makachero wa DCI