Skip to main content
Skip to main content

ODM yashutumu upinzani kwa matamshi kuhusu afya ya Raila

  • | Citizen TV
    16,654 views
    Duration: 1:16
    Viongozi wa chama cha ODM wamewashutumu vikali viongozi wa upinzani kufuatia matamshi yao hapo jana kuhusu afya ya kinara wa chama hicho Raila Odinga. Viongozi hao wakiwemo manaibu vinara wa ODM Abdulswamad Sharrif Nassir, Godfrey Osotsi na katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna, wamewataka viongozi hao kukoma kumkejeli Odinga kwa kutumia hali yake ya afya.