- 13,152 viewsDuration: 3:11Alianza kujulikana zaidi kwa umma mwaka 2012 alipoteuliwa na Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mjumbe wa Tume ya Katiba mpya, iliyoongozwa na Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba. Je baada ya hapo safari yake iliendeleaje? Tazama #bbcswahili #tanzania #hpolepole Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw