Mbuge Opiyo Wandayi aunga mkono marufuku ya muguka nchini

  • | Citizen TV
    333 views

    Kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa opiyo wandayi ameunga mkono marufuku ya muguka nchini. Akiongea huko mombasa wandayi amedokeza kuwa upinzani utaunga mkono mswada unaopendekeza kuharamisha jani la muguka akisema utafiti na wataalamu wamebaini kuwa vijana kutoka maeneo mengi wameathirika na matumizi yake.