Safari ya daktari mcheza santuri Kisumu

  • | NTV Video
    189 views

    Je umewahi kugeuza ndoto yako ya utotoni kuwa kazi? Watu wengi hujipatia riziki kutokana na mambo wanayopenda huku wengine wakicheza kati ya kazi zao za siku na mambo wanayoYApenda. Daktari Elizabeth Kuta anafafanua maisha yake, kando na kuwatibu wajongwa hospitalini,yeye pia hucheza muziki kwenye hafla mbalimbali wakati wake wa mapumziko

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya