Viongozi wakinzana kuhusu mfumo wa ugavi wa mapato

  • | Citizen TV
    4,773 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kuepuka mazungumzo yanayoashiria kutofautiana kwake na rais William Ruto kuhusu siasa za Mlima Kenya, na badala yake kumuunga mkono rais William Ruto katika juhudi zake za kutekeleza ahadi zake kwa Wakenya. Hata hivyo baadhi ya viongozi kutoka eneo la Mlima na Bonde la Ufa, wameendeleza mjadala kuhusu mfumo wa ugavi wa mapato ya taifa.