Kenya imepanda zaidi ya miche bilioni 1.06 tangu kuzinduliwa kwa mpango wa kupanda miti bilioni 15 ifikapo mwaka 2032, uliotangazwa mwezi Desemba mwaka 2022.Waziri wa Mazingira, Dkt. Deborah Barasa, amesema kuwa serikali inalenga kupanda miche milioni 100 ya miti katika shule za msingi kote nchini wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira Ijumaa ijayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive