- 320 viewsDuration: 4:03Mama wa taifa Rachel Ruto amewahimiza wakenya wawajibike binafsi ili kukomesha uchafuzi na kutunza mazingira. Akizungumza katika ikulu ya Nakuru wakati wa tuzo za mwaka huu za Mazingira, FLAMA mama wa taifa alikariri haja kwa kila mwananchi kuchukua hatua madhubuti za kuhifadhi mazingira kwa minajili ya vizazi vijavyo huku akiwahimiza vijana kuongoza juhudi za uhifadhi mazingira kupitia ubunifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive