Skip to main content
Skip to main content

Mizani ya Haki: Harun Mwau atoa ushahidi kwenye kesi ya kumchafulia jina

  • | KBC Video
    445 views
    Duration: 3:16
    Aliyekuwa mbunge wa Kilome, Harun Mwau, alifika kizimbani leo kutoa ushahidi kwenye kesi ya madai ya kuchafuliwa jina aliyowasilisha miaka 20 iliyopita dhidi ya gazeti moja la humu nchini. Mwau aliiambia mahakama kuwa makala yaliyochapishwa na gazeti hilo kati ya Disemba 2004 na mapema 2005, ilimhusisha kimakosa na ulanguzi wa dawa za kulevya, jambo alilosema liliharibu sifa yake kama mtumishi wa umma mwenye heshima na mfanyabiashara maarufu. Mwau anataka alipwe fidia ya mamilioni ya pesa kwa aibu aliyopata kutokana na taarifa hizo. Taarifa kamili ni katika kitengo cha mizani ya haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive