- 115 viewsDuration: 3:13Waziri wa Elimu Julius Ogamba amesema kuwa mgomo unaoendelea wa wahadhiri wa vyuo vikuu ni kinyume cha sheria baada ya kusitishwa na mahakama ya kushughulikia masuala ya ajira na leba mnamo tarehe 19 mwezi Septemba mwaka huu. Akiwa mbele ya kikao cha bunge la taifa, Ogamba pia alisema kuwa shilingi bilioni 7.2 kati ya shilingi bilioni 7.9 kulingana na mkataba wa makubaliano ya pamoja zimelipwa huku zikiwa zimesalia tu shilingi milioni 624 zinazodaiwa na wahadhiri hao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive