Ripoti ya KNCHR kuhusu maandamano

  • | K24 Video
    47 views

    Watu 361 walijeruhiwa, 627 walikamatwa na 32 hawajulikani waliko kufuatia maandamano ya kupinga mswada wa fedha. hiyo ni kwa mujibu wa tume ya kutetea haki za binadamu nchini. Tume hiyo imekashifu vikali vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa maandamano hayo ambayo wahalifu wa kukodiwa walishiriki na kusababisha maafisa wa usalama kutumia nguvu kupita kiasi. sasa tume imetaka serikali ikumbatie mzungumzo ili kutafuta suluhu ya haraka.