Chama cha Labour chashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza

  • | Citizen TV
    775 views

    Waziri mkuu Rishi Sunak akubali kushindwa akitaja uchaguzi huo kama wa kihistoria. Keir Starmer anatarajiwa akuwae waziri mkuu mpya. chama cha labour kimepata idadi kubwa ya wabunge.