Aliyekuwa waziri wa miaka mingi maina wanjigi azikwa nyumbani kwake huko Kianjoya kaunti ya Nyeri

  • | Citizen TV
    1,422 views

    Maina wanjigi, ambaye ni babake mfanyibiashara jimmy wanjigi alifariki akiwa na miaka 92. Maina wanjigi pia alikuwa mbunge wa kamkunji kwa mihula mitano.