Wafanyabiashara katika soko la Kebirigo katika kaunti ya Nyamira walalamikia mazingira chafu

  • | Citizen TV
    332 views

    Wafanyabiashara katika soko la Kebirigo katika kaunti ya Nyamira wamelalamikia mazingira chafu kutokana na kutapakaa kwa takataka ambayo hayajazolewa kwa muda mrefu, kando na vyoo ambavyo vimejaa na kusababisha hatari ya magonjwa sokoni humo.