Kumbukumbu ya saba saba

  • | Citizen TV
    3,062 views

    Maandamano Ya Vijana Ambayo Yamesukuma Mabadiliko Kadhaa Serikalini Katika Muda Wa Mwezi Mmoja Uliopita Yametajwa Kuwa Mithini Ya Mapambano Ya Saba Saba Kupigania Demokresia Ya Vyama Vingi. Wakati Huo, Maandamano Ya Saba Saba Yakisukumu Serikali Ya Kanu Wakati Huo Kutoa Nafasi Ya Kuwepo Kwa Vyama Vingi Vya Kisiasa. Miaka 34 Baadaye, Gavana Wa Siaya James Orengo Na Kasisi Timothy Njoya Waliokuwa Kwenye Vuguvugu La Mageuzi Wanafananisha Safari Hii Na Ile Iliyoanzwa Na Vijana Wa Gen Z Nchini