Wanafunzi wa chuo cha kiufundi cha Borabu waandamana kulalamikia utovu wa usalama

  • | Citizen TV
    892 views

    Wanafunzi Wa Chuo Cha Kiufundi Cha Borabu Katika Kaunti Ya Nyamira, Waliandamana Kulalamikia Utovu Wa Usalama. Hali Hii Inajiri Kufuatia Visa Vya Ubakaji Chuoni Humo, Kisa Cha Punde Zaidi Kikiwa Cha Jumanne Usiku Ambapo Wanafunzi Watatu Walinajisiwa