Wakaazi wavamia kituo cha polisi cha Gachie kudai chakula cha msaada

  • | Citizen TV
    3,510 views

    Wenyeji wa Gachie katika eneo bunge la Kiambaa kaunti ya kiambu walivamia kituo cha polisi cha GACHIE na kudai chakula cha msaada ambacho kilikuwa kimehifadhiwa katika kituo hicho kwa miezi kadhaa.